Naomba msaada toka kwenu tafadhali, kama kuna mtu anajua jinsi ya ku-download Free accounting software inayojulikana kwa jina la TALLY anipe maelekezo.
ila itakubidi uwe na software yoyotr ya ku download torrents, actually Utorrent is best and very small and easy download hapa :Download - µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client
maelezo na kila kitu vipo ndani yake..ukishindwa kabisa ni PM