mareeTZ Senior Member Joined Jun 4, 2015 Posts 171 Reaction score 179 Jan 9, 2017 #1 Guys ninatumia Simu, pc na sometimes app ya JF. please nipeni maujanja how naweza kukoleza maandishi ya heading ya post hapa JF
Guys ninatumia Simu, pc na sometimes app ya JF. please nipeni maujanja how naweza kukoleza maandishi ya heading ya post hapa JF
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Jan 9, 2017 #2 heading zote zinakolezwa automatic, ukiisoma huo mkolezo unaondoka, mtu akiandika kitu kipya unarudi. kifupi mkolezo unamaanisha kuna kitu kipya hujakisoma ndani ya post
heading zote zinakolezwa automatic, ukiisoma huo mkolezo unaondoka, mtu akiandika kitu kipya unarudi. kifupi mkolezo unamaanisha kuna kitu kipya hujakisoma ndani ya post
Time Traveller JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 314 Reaction score 305 Jan 9, 2017 #3 Thanks chief