Unaweza kutupia hiyo link hapa mkuuNenda youtube kuna maelekezo kwa vitendo. Mimi mwaka 2019 nilitumia maelekezo ya youtube.
Ni download kwenye computer humo humo? Hiyo kms icon yake ikoje mkuu maana ukitafuta kitu google inakuletea vitu vingi vyenye jina kama hiloDownload, Install na u Run applikesheni ya kms
Download kwenye computer. Lakini kwanza zima antivirus au windows defender.Ni download kwenye computer humo humo? Hiyo kms icon yake ikoje mkuu maana ukitafuta kitu google inakuletea vitu vingi vyenye jina kama hilo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Shukrani mkuuDownload kwenye computer. Lakini kwanza zima antivirus au windows defender.
KMSpico Download | Official KMS Website [New Version 2023]
Download KMSpico Activator to activate Windows 10, 11 and other Microsoft products for free, this is the official KMS Pico Site 2023official-kmspico.org
hii ndo bora hata mimi nilitumia kuacticvate nimuhimu pia kuinstall winRarTumia KMSpico
Habari wana jamii forums
Msaada kwa mwenye WINDOW 10 ACTIVATION KEYS ili niweze kuactivate window yangu
Nitashukuru kwa msaada wenu