tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Oryx halina moshi kwenye kwenye vyombo vinavyotumikaShukran nyote
mbona wanasemaga majiko ya nikai yanatumia gas nyingi kwa sababu yana matundu katikati na pembeni?Tafuta Nikai liko poa..pia halichafui sufuria..
Majiko yote uliyo tajiwa ni fake na yana kula gas nyingi sana. Kwa ushauri kanunue jiko linaitwa VAN HOT POINT. ndio jiko bora na lakisasa linakula gas kidogo sana tena utapata la kioo wanauza 125, 000. Mpaka 120, 000.
Duh. VAN HOT PointHii kitu sio mchezo ime simama ile mbaya
Hii kitu sio mchezo ime simama ile mbaya