Gogle JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,495 Reaction score 871 Jun 14, 2015 #1 Wakuu nilikuwa natumia app ya JF kwenye IPad ikawa inazingua, ilikuwa hairefresh kwenye "new posts", nikaamua kuidelete ili niidownload upya, kila nikisearch kule app store naambiwa "no result". Masada tafadhali Hapa natumia JF app kwenye iPhone
Wakuu nilikuwa natumia app ya JF kwenye IPad ikawa inazingua, ilikuwa hairefresh kwenye "new posts", nikaamua kuidelete ili niidownload upya, kila nikisearch kule app store naambiwa "no result". Masada tafadhali Hapa natumia JF app kwenye iPhone