Msaada: Je naweza kubadili kozi hii kwa UDOM?

Msaada: Je naweza kubadili kozi hii kwa UDOM?

sunner breezy

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Wakuu naombeni kuuliza kuhusu hili....

Kwa chuo cha UDOM kama umechaguliwa katika diploma in information technology management unaweza badili kwenda nursing au laboratory
 
Wakuu naombeni kuuliza kuhusu hili....

Kwa chuo cha UDOM kama umechaguliwa katika diploma in information technology management unaweza badili kwenda nursing au laboratory
Mkuu umefika hadi huku?!
Kubadili uwezekano upo
Lakini kwa nursing sikushauri
 
Back
Top Bottom