Habari zenu ndugu zangu..nimenunua ps2 console slim black yenye uwezo wa ku-play burned dvd games kama zile za kariakoo za buku tano (5000)..je hii ps2 console ina chip yoyote ndani yake au haina? na kama inayo nawezaje kuitumia kucheza games kwa kutumia usb flash disk? naombeni msaada wenu tafadhali..asanteni sana...!
Mkuu unapozungumzia chip unamaana gani!? Kwa sababu hakuna kifaa cha electronics kinachokosa chip kwa maana kuwa zile transistors, capacitors, resisitors, diode, etc ni chip!
Mkuu unapozungumzia chip unamaana gani!? Kwa sababu hakuna kifaa cha electronics kinachokosa chip kwa maana kuwa zile transistors, capacitors, resisitors, diode, etc ni chip!