janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Apr 4, 2014 #1 rafki yangu kifua kinamuuma upande wa kulia saiz mwaka umeisha shida itakua nini jamani?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Apr 6, 2014 #2 kinamuumaje?maumivu yanaendelea mpaka kwenye mkono?anadalili za kukosa pumzi au kutokupumua sawasawa!
kinamuumaje?maumivu yanaendelea mpaka kwenye mkono?anadalili za kukosa pumzi au kutokupumua sawasawa!
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Apr 6, 2014 Thread starter #3 mimi49 said: kinamuumaje?maumivu yanaendelea mpaka kwenye mkono?anadalili za kukosa pumzi au kutokupumua sawasawa! Click to expand... Adai kinachoma, alpoenda hosptal akaambiwa hawaon tatzo ila wakamwambia ajarbu ku2mia dawa za pressure ka2mia bado hazmsaidii, mda mwng mapgo ya moyo yamwenda mbio ndo dalil ninayoijua kwake.
mimi49 said: kinamuumaje?maumivu yanaendelea mpaka kwenye mkono?anadalili za kukosa pumzi au kutokupumua sawasawa! Click to expand... Adai kinachoma, alpoenda hosptal akaambiwa hawaon tatzo ila wakamwambia ajarbu ku2mia dawa za pressure ka2mia bado hazmsaidii, mda mwng mapgo ya moyo yamwenda mbio ndo dalil ninayoijua kwake.
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Apr 6, 2014 #4 janeth1 said: Adai kinachoma, alpoenda hosptal akaambiwa hawaon tatzo ila wakamwambia ajarbu ku2mia dawa za pressure ka2mia bado hazmsaidii, mda mwng mapgo ya moyo yamwenda mbio ndo dalil ninayoijua kwake. Click to expand... Kuna uwezekano ana tatizo la moyo..akacheki hilo!
janeth1 said: Adai kinachoma, alpoenda hosptal akaambiwa hawaon tatzo ila wakamwambia ajarbu ku2mia dawa za pressure ka2mia bado hazmsaidii, mda mwng mapgo ya moyo yamwenda mbio ndo dalil ninayoijua kwake. Click to expand... Kuna uwezekano ana tatizo la moyo..akacheki hilo!
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Apr 6, 2014 Thread starter #5 mimi49 said: Kuna uwezekano ana tatizo la moyo..akacheki hilo! Click to expand... Nashukuru kwa ushaur ndugu yangu.
mimi49 said: Kuna uwezekano ana tatizo la moyo..akacheki hilo! Click to expand... Nashukuru kwa ushaur ndugu yangu.