Nina android 620, mtoto wangu kachezea na sasa simu haziingii kabisa lakini nikiangalia kwenye received nakuta simu zote zilizoingia bila simu kuita.nisaidieni kutatua tatizo hilo wadau.
Nina android 620, mtoto wangu kachezea na sasa simu haziingii kabisa lakini nikiangalia kwenye received nakuta simu zote zilizoingia bila simu kuita.nisaidieni kutatua tatizo hilo wadau.
Haujatoa maelezo ya kutosha mkuu, Android 620 ndy simu gani hiyo mkuu? Na tatizo ni kwamba simu haiiti kwa maana kwamba inakuwa silent tu? Kama ndivyo si uangalie kwenye profile! Kama tatizo ni kubwa zaidi ya hilo it will be easier for you to reset, vitu vitafutika lakini itarudi kwenye hali yake ya mwanzo.