msaada jamani

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
322
aman kwenu wanajf,naomba kujua ni aina gani ya simu yenye uwezo wa kuply videos kwenye youtube na yenye uwezo wa kufungua whatsup na bei zake zikoje?
 
Swali lako mkuu irumba1 liko general sana.

Tuanze na Kuplay YouTube videos;
-Siku hizi, kizazi hiki ambacho smartphones ndio habari ya mjini, kuplay video online sio topic tena. Namaanisha kila simu siku hizi zinao uwezo huo. Unaweza download application special kwaajiki ya kuplay hizo video au ata kutumia browser yako katika simu (operamini, chrome, etc).
Mkuu hapa kinachomata ni speed ya internet tu mahala ulipo. Simu inaweza kua na uwezo wa kuplay video, lakini kwakua internet haina speed (EDGE/GPRS) ukashindwa play. Hapo lawama si kwa simu, bali ni kwa mobile career wako either Voda, Tig, Airtel etc (Please, dont ask mtandao upi una speed sana, swali halinaga jibu ilo).
Kwa ufupi sasa, simu zote za OS ya android, ios, windows phone etc zina uwezo wa kuplay video za YouTube smoothly, iwapo tu kuna network nzuri (Tuseme kukiwa na 3G).

Swala la WhatsApp.
-Hii ni app ya kawaida tu. Unaidownload katika market ya simu yako au unadownload katika memorycard na kuinstall.

Ushauri:
Kama unataka kununua simu, ni vema ungesema budget yako, matumizi yako, applications unazozipenda kutumia, etc vijana watakupa msaada hapa.
Sidhani kama YouTube na WhatsApp tu ndio zinaweza kukushawishi uipende simu. Kuna mambo matamu zaidi ya hayo.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu secret service,simu yangu ni ndogo nokia 111 nikijaribu kudowlod whatsup inasema kuwa not supportin na nikiingia kwenye kwenye youtube na kuplay videos inaniambia haisapot streaming ndo maana nikauliza ni sim gan nzur naweza kupata huduuma hizi mbili niya 150000/-
 

Mkuu ongeza 15 uchukue samsung galaxy star mpya kwa mawakala wao
 
Me natumia LG-E410 Android Version 4.1.2. ,2GB internal Memory, 1Ghz Processing Speed, GPS tracker, 3G, inbuilt Wi-Fi etc. I bought it at Kenya Shillings 10,000. You can convert it to your Tanzanian Currency uone how much it can cost. It can play full muvie, Pia ina Youtube application,... It can literally do anything. I can recommend you to look for it.
 

Ulinunua used au shop?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ