msaada jamani

msaada jamani

kangalo

Member
Joined
Nov 27, 2012
Posts
18
Reaction score
1
ipi simu ya ukweli kati hizi Blackberry z10, Galaxy s3, lumia 720,na sony ericksony xparece Y.
 
labda uingie kwenye gsmarena site uangalie specifications za hizo simu pengine utajua ipi itakufaa.kwa mimi labda uchague kati ya blackbery na sony.
 
ipi simu ya ukweli kati hizi Blackberry z10, Galaxy s3, lumia 720,na sony ericksony xparece Y.

fanya kama ulivoshauriwa na kingine wewe unapenda simu gani na os gani ya simu pia husaidia zaidi..
 
Back
Top Bottom