Watu kwa kudakia mada! Mleta mada kauliza first year chuo wanaanza lini! Mtu unaanza kutoa ratiba ya vyuo:ud,mzumbe,saut, sua! Kwani hivyo ndivyo vyuo pekee nchini? Na kwanini mmefocus level ya degree?
Kumbukeni kuna vyuo kibao vya certificates, diploma, ufundi n.k!
Tuwe great thinkerz, tusiwe tunakurupuka