K kwetukijijini Member Joined May 20, 2018 Posts 37 Reaction score 26 Aug 4, 2018 #1 Msaada wa kisheria jamani! Ninamkopo Bayport lakini NMB wapo ridhaa kunilipia mkopo huo, chakushangaza Bayport wanagoma kunipa barua ya balance yangu kwa kunidanganya danganya mara njoo kesho lakini ni miezi miwili sasa. Nifanyaje Jamani!
Msaada wa kisheria jamani! Ninamkopo Bayport lakini NMB wapo ridhaa kunilipia mkopo huo, chakushangaza Bayport wanagoma kunipa barua ya balance yangu kwa kunidanganya danganya mara njoo kesho lakini ni miezi miwili sasa. Nifanyaje Jamani!
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,107 Aug 4, 2018 #2 Acha Kuwalipa Na Wewe! Simple Tu.
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,091 Aug 4, 2018 #3 Fuatilia ukijichelewesha riba inaongezeka
1xbet Sports - EA JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 789 Reaction score 729 Aug 28, 2019 #4 Hapo unaweza fanya mambo yafuatayo: i) Kuandika Demand Notice/Letter kwenda kwa Bayport ambayo ndani yake utaandika yafuatayo a) Kumuamuru wakupe balance yako ndani ya muda utakaoutaja wewe (siku 7 au 14). b) Uwape notification ya agenda ya kuwashitaki endapo siku tajwa hapo zitapita bila wao kukupa balance. c) Uambatanishe vipengele vya mkataba/sheria vinavyokupa ruhusa ya 3rd party kulipa deni. ii) Endapo hawatofanya kama ulivyowaelekeza kwenye demand letter basi nenda mahakamani.
Hapo unaweza fanya mambo yafuatayo: i) Kuandika Demand Notice/Letter kwenda kwa Bayport ambayo ndani yake utaandika yafuatayo a) Kumuamuru wakupe balance yako ndani ya muda utakaoutaja wewe (siku 7 au 14). b) Uwape notification ya agenda ya kuwashitaki endapo siku tajwa hapo zitapita bila wao kukupa balance. c) Uambatanishe vipengele vya mkataba/sheria vinavyokupa ruhusa ya 3rd party kulipa deni. ii) Endapo hawatofanya kama ulivyowaelekeza kwenye demand letter basi nenda mahakamani.