Ulifannya backup ya qcn file kabla ya process zako? Na ulikua unaflash kwa njia ipi 1.huawei flashtool au 2.kwa firmware upgrade?? 3. Je ukiangalia kwenye devce info kwenye dashboard ya airtel wakati modem ipo connected imei unaiona ? Jibu hayo tupate pa kuanzia na tujue tunasolve vipi