Habar wana teknolojia naomba msaada jamani computer yangu aina ya dell inspiron inagoma kuwaka(Hai display chochote) bali inatoa mlio tu wa kama beep kama mara mbilimbili hivi yaani...piiiipiiiiii,......Tangu asbh nilikuwa natumia vizuri mchana nikaizima nikafungua nyuma kwenye RAM nikazitoa kisha nikazirudishia baaada ya hapo sikuiwasha ndio nimeiwasha saivi jioni hii inanifanyia ivo.......nimejaribu labda ile RAM sikuiweka vizuri nikafungua na kuirudishia tena lkn bado naomba msaaada weledi wa mambo haya jamani
Natanguliza shukrani