Msaada jamani wa kibali (yaani road permit)

Shadya

Member
Sep 14, 2011
87
37
Wandugu nisaidieni, niliomba kibari tanrod nikapta ingawaje muda wa kukipata ni siku mbili. Sas tatizo lina kuja hapa jana nimeanza safari ya ninakokwenda kwa bahati mbaya kumbe nilikosea kuandika namba ya gari badala ya kuandika 498 nikaandika 698, sasa hivi niko mizani nimezuiliwa hapa kibaha wananiambia nirudi dar niombe tena kibali na ukumbuke inachukua siku mbili kukipata je wandugu nifanyeje? Msaada
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom