Msaada jamani... Nimevurugwa!! :-)

Unataka kukimbia majukumu eeeh?????

Hizo "nyakati" ngumu mnazitafuta wenyewe
 
Utrasound hudetect pale bhcg levels zinapofika kuanzia 1000 (transviginal us)

Ila kama uligegeda tu tena siku ya hatari wiki 2 zilizopita utrasound haitoona kitu

Hongera baba kijacho

Siku nyingine utajifunza matumizi ya condom
Na ultrasound je? Inagundua mimba ikiwa na wiki ngapi?
 
Utrasound hudetect pale bhcg levels zinapofika kuanzia 1000 (transviginal us)

Ila kama uligegeda tu tena siku ya hatari wiki 2 zilizopita utrasound haitoona kitu

Hongera baba kijacho

Siku nyingine utajifunza matumizi ya condom

Daaah hili balaa sasa
 
Unazifahamu sheria za humu?

Nazifahamu sana... mi kuulizaa humu sio mjinga... sasa uyo ----- analeta kujua kwingi cjui google cjui nin... mi npo serious ye analeta ungese wake
 
Kama huna cha kuchangia ni heri ukapiga kimya... matako yako

Nimecheka sana ulivyomjibu huyu jamaa...matusi uwa ni njia ya kuonyesha umekereka ama hutaki kuguswa?....Sheria yaja kuwa makini mkali unaweza kosa jibu juu ya huyo shemu.
 
Mjomba vp kuhusu ukimwi,gonorhea, kaswende na mengine mpaka mimba ikutie kimuhemuhe?yann unaenda dry mkuu
 
embrace safe sex
 
Acha kujilalamisha hapa,we anza kununua nepi na pampasi mapema.
 
Umri wa Ujauzito unaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya kuanza period ya mwanamke kabla ya kupata ujauzito.
Na ni wiki 40 +/- 2 mpaka kujifungua. Unanipata mkuu?
 
Unaanzia the 1st day of the last menstrual period.
Ili kujua tarehe ya matazamio unajumlisha 7 kwenye tarehe na kutoa 3 au kujumlisha 9 kwenye mwezi. Unapata tarehe ya matazamio kujifungua.
Mfano kama alianza period 20.04.2015, tarehe ya matazamio kujifungua itakuwa 27.01.2016. Maana yake mpaka tarehe hiyo inakuwa imetimia wiki 40 kamili.
 
Umri wa Ujauzito unaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya kuanza period ya mwanamke kabla ya kupata ujauzito.
Na ni wiki 40 +/- 2 mpaka kujifungua. Unanipata mkuu?

Asante sana mkuu... nashkuru sana
 
Mkuu umenichekesha sana.Hongera kuwa baba kijacho na nakushauri usije kumshawishi aitoe.
 
Kwani uliempa mimba ni dent nn?
Acha wenge tulia muyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…