SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Eti unawezaje kuhesabu siku za ujauzito... Yaani mfano nimesex nae leo akiwa katika siku zake za hatari.. Je kama baada ya wiki mbili akija kuniambia ana mimba hiyo mimba itakua ni ya wiki mbili au!? Yaani swali langu la msingi MIMBA HUANZA KUHESABIWA SIKU NGAPI BAADA YA KUSEX.. Na pia kipimo cha utrasound kinaweza kudetect mimba inapofikia muda gani?
MSAADA WENU maana nipo latika wakati mgumu sana...
Hujui kutumia Google? Bing? Wikipedia? Webmd.com? Mayoclinic.org? Cdc.gov?
Mkali wao umevurugwa na mimba tu, ukimwi umepima?
mimba hata siku moja inajulikana. Apime mkojo.
siku ile ile, unaanza kuhesabu
Ha ha haaa ukome kwenda dry
The very first day.
Ukimwi sinaga
Kama huna cha kuchangia ni heri ukapiga kimya... matako yako
Kama huna cha kuchangia ni heri ukapiga kimya... matako yako
invinsible samaki huyo kajileta mvue basiKama huna cha kuchangia ni heri ukapiga kimya... matako yako
Unazifahamu sheria za humu?