Msaada jamani.Maumivu ni makali sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani.Maumivu ni makali sana

Discussion in 'JF Doctor' started by tizo1, Nov 12, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habari za kazi madaktari.Nina maumivu makali sana ya tumbo katika upande wa kulia wa tumbo,pale zinapoishia mbavu kwa chini kidogo.Hali hii pia ilitokea mwaka 2008 nikiwa morogoro.miongoni mwa dawa zilizonisaidia ni Ciprofaxin.je tatizo ni nini?
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  umecheck kidole tumbo?
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hapo upo sawa kabisa kwa kuanzia, lakini pia inaweza kuwa tatizo lipo kwenye kibofu cha nyongo au njia zake(biliary tract) au hata figo(acute pyelonephritis) lakini hii inaambatana na homa na pengine mkojo wenye rangi ya pepsi. Sasa cha kufanya kama upo karibu na hospt. kubwa nenda wakakucheck ili kuwa na uhakika. Kama una diclofenac nyumbani hapo meza itulize maumivu wakati ukifanya mchakato wa kwenda hospt.
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  sawa nashukuru.nitafanya hivyo.nitaleta ripoti.
   
 5. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Tizo1, umeona alivyokujibu Mrimi? anasema: ''lakini hii inaambatana na homa na pengine mkojo wenye rangi ya pepsi.'' , kwanini mkojo wenye rangi hiyo? ni kwa sababu unasubiri kiu ndipo unywe maji.

  ‘Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa – dr. Batmanghelidj'.


  Kunywa glasi 1 ya maji (ml 250) kila baada ya masaa 3, halafu urudi kutujuza hali yako. bonyeza hapa kujifunza zaidi kuhusu maji: http://maajabuyamaji2.artisteer.net/
   
 6. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  asante sana.nimepita kwenye hiyo address nitayafanyia kazi maelezo na nitaleta ripot hapa....
   
 7. l

  life change Member

  #7
  May 13, 2017
  Joined: Mar 6, 2017
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kama tatizo ni kibofu cha nyongo dawa yake ipi au ufanye nini?
   
 8. l

  life change Member

  #8
  May 13, 2017
  Joined: Mar 6, 2017
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kama tatizo ni kibofu cha nyongo dawa yake ipi au ufanye nini?
   
Loading...