sweet poison
Senior Member
- Aug 16, 2013
- 104
- 15
Habari wana mmu napenda niombe msaada kwenu kwa anayeweza kunisaidia.nipo ktk kwa miaka3 ss mwanzoni nilikuwa fiti sana kimchezo yaani mabao ilikuwa ni km kawa.lakini cku hz nipo luz sana tena cku hizi nikiingiza tu sichukui round namwaga oil. NAOMBA ANEYEWEZA KUNISAIDIA NJIA YA KUCHELEWESHA KUmwaga ANIAMBIE KAMA IPO DAWA PIA NAOMBA MSAADA NAMNA YA KUIPATA.Msaada wenu utanusuru ndoa yangu