msaada jamani kuhusu laptop.

msaada jamani kuhusu laptop.

kambenga1

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
41
Reaction score
0
wana jf naomba kujunzwa
juu ya aina ya laptop nzuri
kwa kuzingatia Ubora,
uimara, aplications , charge
storage, bei kulingana na
thamani yake na
vinginevyo ! itanisaidia
mimi na atakae kununua
laptop.
 
Wana jf

Msaada nilizima laptop ikiwa low charge kuwasha imegoma nimetoa betri wapi nimeweka Chaja imegoma lupokea moto tatizo ni nn?
 
Back
Top Bottom