chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
niliajiriwa kampuni moja hivi nimeifanyia kazi miaka kama mitatu ikatokea kutoelewana na boss kwa maslahi nikaandika barua ya kuacha kazi mwenyewe sasa barua Ile walinipa kwa kuwa nilikua nakatwa makato na kuwekwa kwenye mfuko wa ppf na kama ml 5hv kwa sasa nimeamua nijiajiri sasa kwenda ppf pale Morocco walichonijibu kwa dharau sana kuwa sasa hivi fao la kujitoa limezuiliwa na haielewek ni mpaka lin au niwe na miaka 55now ndio kwanza nina 28 na tayari naumwa presha nk natakiwa vipimo vya scg na eco na CT scan nashindwa nipateje hizo ela zangu kama Kuna mtu mwenye ushauri au anajua njia ya kufanya anisaidie tafadhal