Kondom za denda si zipo au hadi utangaziwe.Wataalam watakuja! Pole sana mkuu ila sie wapenzi wa denda twafwa
Mpe basi ushauri.mwenzenu kapata shida badal mtoe ushauri mzuri mnaanza kuongea maneno ya ajabu..
Mpe basi ushauri.
Ilitakiwa umpe ushauri huo sasa, siyo kuzua hoja nyingine.aende Hospital za Maana zenye vipimo stahiki..
aonane na daktari wa Afya ya kinywa..
akianza dozi Miswaki aliyokuw akitumia aiache atafute mwingine.
mwisho amtegemee Mungu kwa kila jambo.