Msaada jamani hi kampuni niya ukweli

Msaada jamani hi kampuni niya ukweli

the boss13

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
422
Reaction score
215
SOCIAL CREDIT COMPANY ni Taasisi ya
kifedha inayohusika na utoaji mikopo nafuu
na isiyokua na riba kupitia mfuko maalum
uitwao Social Credit & Loans kwa dhumuni
la kuwawezesha wajasiriamali wadogo na
wakubwa nchini Tanzania kwa kuwapatia
mikopo ya pesa kwa lengo la kumuinua
kiuchumi mtanzania na kumletea
maendeleo ili aweze kujikimu kimaisha
kwa dhana yakinifu kutaka kutokomeza
umasikini.
Taasisi ya Social Credit Company
imeanzishwa mwaka 2003 ikiwa kama tawi
zawa lisilojitegemea nakua kampuni binafsi
iliyoingia ubia na Bank ya NBC (National
Bank of Commerce ) kwa makubaliano ya
mikataba ya muda. Social Credit Company
imemaliza mikataba rasmi na Bank ya NBC
hivyo imeanza rasmi kujitegemea na
kuunda mfuko huu wa Social Credit &
Loans.
Social Credit Company imeanza hatua za
kutaka kusambaza matawi yake mikoa yote
nchini Tanzania ili kila mtanzania aweze
kupata huduma za mikopo kwa ukaribu,
kwasasa Social Credit Company ina matawi
matatu makuu katika mikoa mitatu (3) Dar
es salaam, Kigoma na Dodoma ina jumla ya
wafanyakazi 45 katika matawi tajwa kila
mkoa.
MTANZANIA ATAWEZAJE KUPATA MKOPO?
Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania bila
ya kuwepo na ubaguzi wa aina yoyote
huduma zetu ni stahiki kwa kila mtanzania
ambae ni mjasiriamali,mtumishi wa
serekalini au mfanyakazi wa kampuni
binafsi wote wanastahili kujiunga na kuwa
washirika wetu na tutawapatia mikopo.
Wakati tukiwa katika maandalizi ya
kusambaza matawi yetu katika kipindi hiki
inamlazimu mteja wetu ambae anahitaji
mkopo kuweza kujiunga kwa kujaza fomu
ya maombi ya mkopo na kujiunga kupitia
Online katika tovuti hii kwa kujaza fomu
yetu na kulipia ada ya ushirika kiasi cha
Tshs. 38,500 (elfu thelathini na nane na mia
tano) kupitia Mobile Banking Airtel Money
na M-Pesa . Baada ya mteja kujaza fomu
yetu na kulipia ada Tshs. 38,500 fomu yake
itapokelewa pamoja na malipo yake baada
ya hapo maombi yake ya mkopo
yataidhinishwa na atapatiwa mkopo wake
wa pesa ndani ya masaa 24.
SIFA ZA KUJIUNGA UWE MSHIRIKA UPATE
MKOPO
Sifa kuu za mwanachama anaetakiwa
kujiunga aweze kupata mkopo nikama
zifuatazo:-
(i) UWE MUAMINIFU
(ii) UWE NA AKILI TIMAMU
(iii) UWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 AU
ZAIDI
(iv) UWE MTANZANIA
(v) UWE NA KITAMBULISHO KIMOJA WAPO
KATI YA HIVI MPIGA KURA, BANK, CHUO,
LESENI YA BIASHARA, LESENI YA GARI au
KITAMBULISHO CHA KAZI
KWANINI TUNATOA MIKOPO NAFUU YENYE
MASHARTI RAHISI?
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza
kwanini Social Credit Company inatoa
mikopo kwa watanzania yenye masharti
rahisi sana tofauti na asasi zingine
walizozizoea kama bank na nyinginezo!?
Sababu kuu ya kuweka masharti rahisi ni
kutaka kumsaidia kila mtanzania kuweza
kupata mikopo bila kumuwekea vikwazo
vigumu ambavyo vitakatisha ndoto zake na
kumfanya awe dhaifu katika maendeleo
yake kwa kukosa mkopo kutokana na
vigezo vyetu kua vigumu ikiwa dhamira
yetu kuu ni kutaka kumsaidia kila
mtanzania hivyo hakuna sababu yakuweka
ugumu wa upatikanaji wa mikopo.
KWANINI TUNATOA MIKOPO ISIYOKU NA
RIBA?
Mikopo hii haina riba kutokana na faida
kuu mbili tuzipatazo kutoka katika
kampuni za simu pindi mteja anapojaza
fomu na kulipia ada kwa tigopesa au mpesa
kuna asilimia fulani zinaingia katika
kampuni yetu kupitia mitandao ya simu
vodacom na tigo pindi mteja anapotuma
pesa na pia ada zinazolipiwa na wateja
wetu baada ya kujaza fomu Tshs.38,500
inaingia katika mfuko wa Social Credit
Company hivyo tunafaidika kwa asilimia
kubwa kipato kinajitosheleza bila
kuchukua riba
MTEJA ATAUPOKEA MKOPO WAKE MUDA
GANI? BAADA YA KUJAZA FOMU NA
KULIPIA ADA
Mikopo yetu haicheleweshwi kwa mteja
wetu atakae jiunga kwa kujaza fomu na
kulipia ada kiasi cha Tshs.38,500 atapatiwa
mkopo wake wa pesa ndani ya muda
muafaka
Social Company imeondoa urasimu ili
kumuwezesha mteja wetu kupata mkopo
wake ndani ya masaa24 baada ya maombi
yake ya mkopo kuidhinishwa.
MTEJA ANARUHUSIWA KUKOPA KUANZIA
SHILINGI NGAPI?
Mteja anaruhusiwa kuomba mkopo kuanzia
Tshs. 200,000 (LAKI MBILI ) Mwisho wa
kukopa ni Tshs. 10,000,000 (MILLION KUMI)
MTEJA ATAPOKEA VIPI MKOPO WAKE
BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA
ADA?
Katika fomu ya kujiunga kuna kipengele
kinamtaka mteja ajaze njia itakayokua
rahisi kwake kupokea mkopo wake kuna M-
Pesa, Airtel Money au Bank inategemea na
kiasi cha mkopo mteja atakae omba mkopo
kuanzia Laki Mbili mpaka Million Tatu
mkopo wake utatumwa kupitia M-Pesa au
Airtel Money. Kuanzia shilingi Million Nne
mpaka Million Kumi mteja atatumiwa
mkopo wake kwa njia ya Bank katika
akaunti yake. Hivyo mteja atatakiwa kujaza
namba ya M-Pesa au Airtel Money katika
fomu ili mkopo wake utumwe kwa njia ya
Mobile Banking pia mteja anaweza
kuandika akaunti namba zake za Bank ili
apokee pesa zake kupitia Bank. Mara baada
ya mteja kujaza fomu na kulipia ada
atapewa taarifa pindi tukishamtumia pesa
zake.
KWANINI MTEJA ANAJIUNGA ONLINE
KATIKA MTANDAO?
Tumeanzisha utaratibu huu wa kujiunga
online kupitia katika mtandao kulingana na
sababu kubwa ya upungufu au ukosefu wa
matawi yetu kuto-enea katika mikoa yote
Tanzania hivyo tumemrahisishia kila
mtanzania ambae yupo mkoani na hakuna
tawi letu na anahitaji kujiunga ili awe
mshirika aweze kupata mkopo iwe njia
rahisi kujiunga Online kupitia katika
mtandao huu kwa kujaza fomu yetu na
kulipia ada Tshs.38,500 kupitia M-PESA au
AIRTEL MONEY na tutaipokea fomu yake na
tutampatia mkopo bila tatizo.
MTEJA ANAE HITAJI KUFIKA KATIKA OFISI
ZETU ATATUPATAJE? (Mawasiliano)
Contacts Details
JAMUHURI STREET
SCC MNAZI MMOJA BRANCH
1st FLOOR
P.O.BOX 9282
MENEJA: +255 22 2135823
FAX: +255 22 2163448
Email: info@socialcompany.co.tz
AINA ZA MIKOPO TUNAYOITOA KWA
WATEJA
1. BIASHARA
Mikopo ya biashara tunaitoa kwa
wajasiriamali / wafanya biashara
2. MAENDELEO
Mkopo wa maendeleo unatolewa kwa
wateja wote ambao wanahitaji kufanya
maendeleo binafsi kama kujenga nyumba,
kununua gari, kununua kiwanja au vitu vya
samani aidha ukarabati wa nyumba
3. ELIMU
Mkopo wa elimu unatolewa kwa wanafunzi
walio vyuoni kwa dhumuni la kuwasaidia
kulipia karo mashuleni au kwa mahitaji
binafsi ya elimu
JINSI YA KUREJESHA MKOPO
Mteja mara baada ya kujiunga kwa kujaza
fomu na kulipia ada tukampatia mkopo
atatakiwa kukaa miezi miwili bila kufanya
marejesho na baada ya hapo ndio
atatakiwa kuanza kufanya malipo ya
mkopo wake KWA MFANO: Mteja kajaza
fomu leo Tarehe 3 mwezi wa 5 na akalipia
ada tukamtumia mkopo wake basi
atatakiwa kuanza kurejesha mkopo
kuanzia Tarehe 3 mwezi wa 7. Miezi miwili
atakaa bila kulipia na baada ya hapo mteja
ataanza kua anarejesha malipo ya mkopo
wake kupitia namba zetu za malipo Airtel
na Vodacom kupitia M-PESA na Airtel
Money
NAMBA ZA KULIPIA ADA YA KUJIUNGA NA
MAREJESHO YA MKOPO
Mteja akishajaza fomu atatakiwa kulipia
Tshs. 38,500 Elfu Thelathini na nane na
miatano kupitia Airtel Money katika
namba: 0689 659 472 au M-Pesa katika
namba: 0753 327 661 ni muhimu kulipia na
pia kwa wateja wa tigopesa mnaweza
kulipia toka Tigopesa kuja M-Pesa au Airtel
Money katika hizo namba zetu za kampuni
na pesa itatufikia pia kwa marejesho ya
mkopo zinatumika namba hizo hizo
MAREJESHO YA MKOPO
Mteja atatakiwa kurejesha kiasi chochote
kile cha pesa kuanzia Tshs. 100,000 Laki
moja kila mwezi mpaka deni lake litakapo
kwisha haijalishi mteja atakua analipia
shilingi ngapi ila kima cha chini kianzie
Tshs. 100,000 mteja anaruhusiwa kuwa
analipia laki moja au zaidi ya laki moja
kulingana na uwezo wake kinachotakiwa
aweze kukamilisha malipo ya mkopo wake
na marejesho yote yasivuke miezi 160.
JIUNGE SASA UPATE MKOPO WA HARAKA
NA NAFUU
Kujiunga ni rahisi mtu yoyote anaruhusiwa
kujiunga na atapatiwa mkopo.
Unachotakiwa kufanya bofya katika Link /
Kimvuli hapa chini kilichoandikwa JAZA
FOMU HAPA utaiona fomu ya kujiunga ijaze
fomu yote kisha itume kwetu baada ya
hapo unatakiwa kulipia ada Tshs. 38,500
kupitia M-PESA katika namba 0753 327 661
au unaweza ukalipia kupitia Airtel Money
katika namba 0689 659 472 pia kwa wateja
wa Tigo na Zantel mnaweza kulipia toka
katika akaunti zenu kuja katika namba
hizo na tutapokea malipo yenu.
ANGALIZO: Ni muhimu kulipia Tshs.38,500
ili kuchangia mfuko wa Social Company na
mikopo itatolewa kwa wale ambao watajaza
fomu na kulipia ada pekee
Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania
wajasiriamali na wasiokua wajasiriamali
pia wafanyakazi wa makampuni binafsi na
watumishi serekalini wanaruhusiwa
kujiunga na watapatiwa mikopo.
Bofya katika hii Link ifuatayo iliyoandikwa
JAZA FOMU HAPA uweze kujiunga kwa
kuijaza fomu na ulipie ada Tshs.38,500
tukupatie mkopo. Baada ya kujaza fomu na
kulipia ada utapokea mkopo wako ndani ya
masaa24.
JAZA FOMU HAPA
 
Back
Top Bottom