msaada wakuu
Hapo kweny window search bar andika CMD itatokea cmd,,sasa right click kisha open as administratorDuuh mkuu umeniacha. Ungeniambia naingia wapi na wapi ndo ningeelewa
@kcamp mkuu mambo vipi..Hapo kweny window search bar andika CMD itatokea cmd,,sasa right click kisha open as administrator
Baada ya hapo cmd itafunguka kisha uta typ hyo command niliyokwambia utyp kisha press enter na usubrie process imalze 100%
Baada ya hapo restart pc yako and then run game upya uone
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Mzee upo?Haya maelezo na mimi nimeyafuata naona bado inanigomea
au App ya steam niifute, au nijaribu mashine PC mpya?
@kcamp mkuu mambo vipi..
Naomba link ya kudownload uero truck simulator