Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Mmmhhh umenitisha, km kuna ka ukweli flani hv, anyway sijui...........msiwakimbie maskini jamani, nao wana tabia njema pia wakipata!!
Poleeee kwa kuwa bado unampenda sana,ila wahenga walisema akufukuzaye hakwambii...........malizia,usichukue hatua haraka fanya uchunguzi wa kutosha kujua chanzo cha mabadiliko yake kisha ukijua ni kwa sababu upendo haupo tena au amepata mwingine jiondoe mapema japo itakuumiza na si rahisi,kuliko kumlazimisha muendelee naye,kwani wanaume sikuzote wana huruma kwa wanawake kwa hiyo ukimlazimisha anaweza kukuoa kwa sababu ya huruma na sio mapenzi jambo ambalo halifai kwani ndoa lazima iunganishwe na mapenzi au upendo na si kitu kingine.Halafu pia maumivu utakayoyapata baada ya kujua kuwa mmeo alikuoa kwa sababu ya huruma na si mapenzi ni makali zaidi kuliko maumivu utakayoyapata sasa hivi kwa kuachana naye.
Upo sahihi sana kiongozi.......ila mapenzi yana upofu flani hv, sijui huwa inatoka wapi!!!!
Ukweli mtupu, watu wasionavyo ndo walivo siku wakivipata utawasahau....!!!!!!!
"Masikini hana tabia"
sahivi kishapata na hiyo anayoonesha sahivi ndo tabia yake halisi!!!!!!!
uamuzi ni wako sasa uvumilie au uchape lapa.......
Umenena kweli kuhusu upofu, ila maisha ya sasa akili kumkichwa. Kupenda inaongelewa zaidi kuliko kutendwa, ni muhimu wanadada wakatafuta kwanza dira za maisha kwani wanaume hawapendi wanawake wasio na dira, maisha magumu atieeeeeeeeeeee. Kama mwadada ni mzuri hana dira watamtumia kama mpira uwanjani kisha wanamdampo kwenye dustbin.
Mmmhhhh..........kizuri hupiganiwa ndugu hakisubiriwa!!
Unajua haya mambo lazima ukubali ukweli.. Mambo ya kumng'ang'ania mtu ndio maana tunaishia kuumizwa..!
Mmmmhhhh...........unaniua na dira, nimeipenda hilo neno!!
itakua unataka ndoa nin..hahahaha..mim nauhakika..kama wewe ungepata kazi na yeye hana ungefanya haya haya tu ya kuzingua..so..kama kuna kupenda tambua kama kuna kuachwa tu..hahahaha..sifurahiii...ova..btw pole sana..naomben mnisaidie wana jf wenzangu...me ni msichana nmedumu na my bf takriban miaka 4 mapenz yetu yalikuwa mazuri before my bf ajapata kazi now kapata kazi kanibadlikia sana mpaka siamini kama ndo yeye 2liyekuwa tunapendana na week ya tatu sasa hapokei cm yangu mpaka ni2mie namba nyingine nkimuulza ananiambia hayuko sawa akiwa sawa ataniambia sababu imefkia mpaka hatua kahama bila kuniambia naskia kwa watu tu.Naumia sana natamani ni control hii situation but iz very diffucult sielew why ananifanyia hv msaada jamani bdo nampenda sana