Mkuu modem za zantel hazitumii lain ya simu ya mkononi.make modem yenyewe ina lain na lain zake zinaanza na 0775xxxx.. Ukitaka kuijua namba ya hiyo modem connect hiyo modem kisha kwenye popup software ya zantel ingia call piga kwenda no.yoyote ya simu yako ikiingia hiyo calling.basi hiyo ndo lain yake ambayo utaiwekea salio.ukikwama nijulishe