Duuh! huu ushaur unalipa kweli?Tao battery! Chomeka charger then washa
Ikishindikana jaribu Kubadilisha screen!!!!kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea tatizo kwenye uwakaji, yan ukiwasha screen inaonekana nyeupe tu hai desplay chochote.... sasa kwa anayefaham tatizo ili naomba anisaidie jinsi ya ku solve
Jamaa!!! Mpe ushauri ili Ku solve tatizo sio una quDuuh! huu ushaur unalipa kweli?
Sio pumba kweli
Hiyo computer ni desptop au laptop mkuu?kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea tatizo kwenye uwakaji, yan ukiwasha screen inaonekana nyeupe tu hai desplay chochote.... sasa kwa anayefaham tatizo ili naomba anisaidie jinsi ya ku solve
Kagua RAM za hiyo laptop kama zipo secured vizuri kwenye slot zake, tatizo likijirudia jaribu kuazima ram kwa mwezio then jaribu kuwasha. Ikigoma basi peleka kwa fundi unayemwaminini laptop
Kama kwenye ram kuna fault lazma kulie alarm during boot. Kwa tatzo la jamaa inawezekana aliemuachia pc alimdanganya. Anaweza akawa ameiangusha au akawa amefanya chochote ku temper na display.. Je haionyesh hata maandish kidogo?Kagua RAM za hiyo laptop kama zipo secured vizuri kwenye slot zake, tatizo likijirudia jaribu kuazima ram kwa mwezio then jaribu kuwasha. Ikigoma basi peleka kwa fundi unayemwamini
Nicheki kwa namba 0676040772, ntakusaidia.kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea tatizo kwenye uwakaji, yan ukiwasha screen inaonekana nyeupe tu hai desplay chochote.... sasa kwa anayefaham tatizo ili naomba anisaidie jinsi ya ku solve