Habr wakuu? samahan laptop yng hutokea maneno haya "window has recovered from an unxpected shutdown" kila muda inajirestart sielew nifanye nn wakuu msaada tafadhali......
'
'
Habr wakuu? samahan laptop yng hutokea maneno haya "window has recovered from an unxpected shutdown" kila muda inajirestart sielew nifanye nn wakuu msaada tafadhali......
'
'
Hiyo sometimes hujitiokeza kama ulizima laptop yako kwa kubonyeza kitufe cha power badala ya kufuata sefe way i.e start-->shutdown
Jaribu kuiwasha wakati inaanza kuwaka bonyeza F8 uwe unabonyeza na kuachia mara kibao mpaka ije window nyeusi ,chagua option ya "Repair" inaweza ikachukua muda mrefu usiwe na haraka iache mpaka imalize.