msaada jaman IBM R51 naelekea kukata tamaa nayo.


LOOOK

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
3,395
Likes
68
Points
145
LOOOK

LOOOK

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
3,395 68 145
wandugu nina ibm r51 ime lock yaani nimejaribu ku toa cmos batt hadi wk nzima lakini wapi mwisho nkapata jibu kuwa inastore password kwenye eeprom chip litu ambacho nimehangaika nacho hadi basi tafadhari mwenye ujuzi zaidi yangu msaada tafadhari nakiri kuishindwa hii mashine au kama kuna yeyote ana weza niuzia eeprom chip isiyo na passcode ili nifanye replacement help plz.inaingiliana na r40,r50,r41 plz msaada.
 

Forum statistics

Threads 1,250,604
Members 481,419
Posts 29,738,564