Msaada jamaa anataman kujinyonga...

mwambie maisha siyohayo tu, aendelee na michongo mingine aachane na hiyo kitu kujinyonga nikujinyima haki ya kuishi..

though huyo mama naye!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mama anaomba asamehewe kwa ktendo alichofanya,infact anaomb arudiane na jamaa
 
We mwambie ajiue tu ila siku ya mazishi huyo bi dada atakuja na mwanae na baba mtoto kumuaga.

Kuna mijitu mipumbavu kwenye hii dunia!!!!!
 
Uache raha, starehe na wakati mwingine karaha za duniani humu,
Nikajiue kisa mapenzi,
.......... Yafie mbali huko mie nisonge na maisha yangu.........
 
Raelish, maisha ni zaidi sana ya mtu kuzaa na mwingine, na kulea kisicho chake ni yeye tu alikiendekeza, kwanini hawakujihakikishia kabla ukizingatia hakua mkewe?????????

Aachane nao na aendelee na maisha kama kawaida , au kathibitishiwa hata zaa tena????????
 
Last edited by a moderator:
asirudiane nae wa nini ni kujidanganya kuwa mlima utasogea siku moja ni sawa na tabia ya mtu labda litokee tetemeko la dunia.
 
sometimes i wish a world without women.


Puli kwa kwenda mbele..


Ukitaka mtoto, unakata kidole...you keep it kwenye chungu...baada ya miezi tisa kinabadilika nakuwa kiumbe kamili...hatari sana...LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…