Msaada: iPhone Display haioneshi kitu

Ishina

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
169
Reaction score
57
habari wadau!

Msaada wadau, nimeangusha simu yangu aina ya iPhone 4S, na imepatwa na tatizo la display! Inavyoonekana vitu vingne vina- function Kama kawaida. Mtu akipiga simu inaita Kama kawaida na maongezi yanafanyika Kama kawaida, tatizo ni display tu haioneshi kitu, kumetokea Kama three horizontal bars hivi za blue na black.

Mwenye-uelewa wa namna ya ku-sort out issue hii atakuwa amenisaidia saana.
 

Hiyo imekufa Touch Screen LCD Digitizer, ni ya kununua mpya,,
 
Hiyo imekufa Touch Screen LCD Digitizer, ni ya kununua mpya,,


Thanks kwa response yako! Kama unajua mafundi wazuri wa kazi hiyo will be highly appreciated
 
Mimi namjua fundi mzuri sana wa hiyo mambo ila kwa leo namba yake sina, niPM kesho nikupe namba yake. Problem solved. Ni hela yako tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…