Msaada: iPhone 6s plus ipo locked

Kama ipo clean, wasikuvunje moyo
 
Nashukuru mkuu ntakutumia as soon as nkifika home!!
 
Error imekuwepo Tangu mwanzokuna jamaa huyu aliniuzia alikua amemlipa ili aiunlock sema ndo hivi tena,aliyeniuzia yuko Nje ya nchi anarudi hivi karibuni atanirudishia hela yangu si nikaona kabla ya kurudisha simu nijaribu huku uwenda nikapata ufumbuzi
 
Nashukuru mkuu ntakutumia as soon as nkifika home!!
okey sawa, ukifika utantumia hio IMEI au serial number nikuchekia. Kuna mtandao nliwahi kutoa lock simu yangu ntakufahamisha uutumie ikiwa ipo locked na icloud, bei yake nimecheki ni aroud $260 kutoa icloud lock. lakini kabla ya kwenda huko tuhakikishe tunajua kama tatizo ni hio icloud lock au ni servers, na tujaribu any means necessary kabla ya kwenda kuilipia.
 
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako na msa wako wa kunijibu,
Leo nikiwa kwenye haraka za kukutumia imei kuna Mdogo wangu anajuajua hayo mambo sema nlikua namdharau,dah ajamaliza hata dk 3 kaifungua...sijajua kafanyaje aisee mpka sahivi.
Tatizo ilikua ni icloud...
Asante wote kwa ushirikiano
 
Karibu tena. Uliponambia kuwa unapata error inayokwambia server are temporary unavailable nilijua kama tatizo lipo kwa Apple wenyewe na ndio maana nikataka tujaribu njia tofauti kabla ya kwenda kulipia.
 
daah sijuhi utajibu maana ili tatizo ninalo

kaka Mimi iPhone yangu mbele hinaandika IPhone disabled

tatizo mini kaka msaada
 
Karibu tena. Uliponambia kuwa unapata error inayokwambia server are temporary unavailable nilijua kama tatizo lipo kwa Apple wenyewe na ndio maana nikataka tujaribu njia tofauti kabla ya kwenda kulipia.
kaka msaada
 
kaka msaada
Samahani mkuu kwa kuchelewa kujibu. Iphone Disabled hutokea ikiwa umejaribu ku unlock simu mara nyingi na hii huwa inakwambia mda gni usubiri. Itakubidi uunganishe na itunes, na ujue email yako na passwrd ya icloud.
 
Hivi iphone ikiwa imejilock i cloud kuna njia gani hapo inaweza kutumika kuifungua?

sent from toyota Allex
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…