ulinunua tsh ngapi? hiyo mpe mtoto achezee kama toy utapoteza pesa zako bure tuu....Habari za jpili.
Naomba mnisaidie kidogo kwa wale wenye uelewa wa haya makitu,kunamshikaji aliniuzia simu,iPhone 6s plus kila kipindi nainunua alinambia aliipeleka kwa fundi aiset fresh for ilikua mpya fundi akawa ameweka line nyingine na akaikorokochoa simu ikawa imeblockiwa ila akanambia kunajamaa amempelekea anaiunlock.sababu Jamàa namuamini na ni mshikaji wangu nikawa nmeinunua tu hivohivo.
simu mpka Leo haijakuwa unlocked ukiiwasha inaniambia ni confirm nchi yangu basi.
Naombeni msaada hata kama kuna mtu anaweza nimletee anifungulie
Simu bado ni Mpya kabisa kwenye boksi
ulinunua tsh ngapi? hiyo mpe mtoto achezee kama toy utapoteza pesa zako bure tuu....
ulinunua tsh ngapi? hiyo mpe mtoto achezee kama toy utapoteza pesa zako bure tuu....
Shukrani mkuu ntafanya hivyo.asante sanamkuu unapatikana wapi? pole sana kwa tatizo hilo, mcheki huyu jamaa atamaliza tatizo( Need to update or jailbreak your iPhone 7 6s 6, 6 Plus, 5, 5S, 4, 4S or iPad 3, 4, air 2, mini 2, pro or iPod Touch 5th gen to the new iOS 10 (9.3.3 Jailbraken) .We can also update the older devices to its latest version. As well as fix or root or update your Android (6/5.1.1/5.0 )or Demo units or Computers to the latest Windows 10/8.1/7 as well as format Without deleting media files like photos,video,music etc and also unlock frp lock or network lock
We can also install Whatsapp in your ipad or ipod or hack games like 8 ball and in app purchases
Call +255 655 666622
Or WhatsApp, cheapest prices in the city.)
Kwa hiyo ndo kusema hakuna njia yoyote ya kuiunlock kabisa!?
Kwa hiyo ndo kusema hakuna njia yoyote ya kuiunlock kabisa!?
Haiko reported mkuu..iko clean kabisa..Kama ni Icloud lock inaweza kutolewa lakini iwe clean (not reported as stolen), hata hivyo its not worth to do it. Umenunua lini hio simu? mbona jamani mnapigwa bei za ajabu? 6s plus 2 million? wakati bei hio unapata kitu cha 7 plus!! Hatari....
Mkuu sijanunua mkononi as it sounds ulikua haijatumika hata kidogo yani bado Mpya kabisa huyu Jamàa alivyoinunua alipeleka kwa fundi arekebishe baadhi ya vitu ili aanze kuitumia ila ndo hivyo ujuaji wa fundi ikawa imejilock..Kama ni activation lock na inakuambia either simu ipo linked na a certain account au ipo lost mode hamna namna. Iuze kama spare au mpe mwanao achezee.....!!
Mwisho wa siku ninamashaka simu ni ya mishe hiyo wewe unataka tuambia milioni mbili mkononi ni mwaka gani umenunua??
Mkuu
Haiko reported mkuu..iko clean kabisa..
Swala la kupigwa mkuu ni ushamba tu sitarudia!!
Kwahyo nafanyaje ipi kuifungua naomba msaada wako
Utaibiwa wewe, hiyo ndio ushibiwa hapo hakuna cha ku-unlock wala jailbreak...kama unataka endelea kuliwa hela mtafute tu huyo mwenye hizo nambamkuu unapatikana wapi? pole sana kwa tatizo hilo, mcheki huyu jamaa atamaliza tatizo( Need to update or jailbreak your iPhone 7 6s 6, 6 Plus, 5, 5S, 4, 4S or iPad 3, 4, air 2, mini 2, pro or iPod Touch 5th gen to the new iOS 10 (9.3.3 Jailbraken) .We can also update the older devices to its latest version. As well as fix or root or update your Android (6/5.1.1/5.0 )or Demo units or Computers to the latest Windows 10/8.1/7 as well as format Without deleting media files like photos,video,music etc and also unlock frp lock or network lock
We can also install Whatsapp in your ipad or ipod or hack games like 8 ball and in app purchases
Call +255 655 666622
Or WhatsApp, cheapest prices in the city.)
Mkuu kuibiwa sio issue sana as jamaa Niko nae ofsini na yuko tayari kurudisha hela sema mwenyewe simu nilikua naitaka ndo maana natafuta ufumbuzi and after all huyu jamaa hela nilimpa tu kwa sababu mamayake alikua mgonjw ndo maana hata sikufikilia sana kama naibiwa!!Utaibiwa wewe, hiyo ndio ushibiwa hapo hakuna cha ku-unlock wala jailbreak...kama unataka endelea kuliwa hela mtafute tu huyo mwenye hizo namba
Mkuu, hii error ndio kwanza imekuja au hii error tangu ulipopata simu ukijaribu inakupa same answer?Nashukuru mkuu..simu nikiwasha inaniamnia "activate your iphone" nikiactivate unanambia" your iPhone could not be activated because the activation server is temporarly unavailable,try to connect your iPhone to iTunes to activate it or try again over cellular connection in couple of minutes"