habari wadau. nina i phone 6s kuna muda inapeleka chaji na kuna wakati haipeleki kabisa yani ni kama inachagua wakati wa kuingiza chaji, ikiwa imezimwa nikiplug chaji inawaka ila ikishawaka tu haipeleki tena chaji inshort ni kwamba chaji ni nzima ila simu haipeleki kabisa... msaada kwa mwenye uelewa juu ya hili