abbyswaleh
Member
- Dec 1, 2012
- 28
- 1
Naomba msaana wa jinc gan ntaweza kutoa icloud ya hizii simu mbiliii wakuuu naomba mnisaidiee
Hapa ingetakiwa itengenezwe sticky thread ya special case za icloud lock.
Tatizo ni kwamba hujanielewa. Hizi threads za icloud lock ni nyingi sana wakati ishu yenyewe ni closed case (impossible). Hiyo ishu imeshashindeikana kabisa kwa hiyo hizi threads ni bure tu.Wazo lako litasababisha tuibiwe iPhone zetu kwa wingi sana, sas kama huyo teyar ana 2 ikianzishwa hyo kitu si atakuja na nyingine 28 hum!
Mkuu hapo uko sawa. Kwa sasa ni impossible ku-unlock Icloud unless you hack password ya email mwenye simu alafu ukareset password. Kuna njia ndefu ambayo ni kubadilisha chip inayostore Icloud account na kuweka chip ya simu ambayo haijalokiwa ambayo haina manufaa yeyote kwa kuwa umeharibu iphone mzima kurekebisha nyingine(yani -1+1=0) Epukeni kununua iphones second-hand hata kama zimetoka ulaya. hakikisha umepewa na password ya Icloud pia. NawasilishaTatizo ni kwamba hujanielewa. Hizi threads za icloud lock ni nyingi sana wakati ishu yenyewe ni closed case (impossible). Hiyo ishu imeshashindeikana kabisa kwa hiyo hizi threads ni bure tu.
Tatizo ni kwamba hujanielewa. Hizi threads za icloud lock ni nyingi sana wakati ishu yenyewe ni closed case (impossible). Hiyo ishu imeshashindeikana kabisa kwa hiyo hizi threads ni bure tu.
Naomba msaana wa jinc gan ntaweza kutoa icloud ya hizii simu mbiliii wakuuu naomba mnisaidiee
Natamani hata makampuni mengine ya simu yaje na huu mfumo kama wa Apple nahisi yatasaidia kupunguza wizi wa simu.
Ivii kwa mfano ukiibiwa iPhone na unataka kuilock isitumike kupitia iyo iCloud ndo unafanya vipi?!
Natamani hata makampuni mengine ya simu yaje na huu mfumo kama wa Apple nahisi yatasaidia kupunguza wizi wa simu.