Rancho Chand
Senior Member
- Nov 4, 2012
- 150
- 71
Wadau simu yangu imekuwa pasua kichwa. Ina tatizo lifuatalo, kuna muda inapitisha charge, sometimes haipitishi kabisa kwa kutumia same cable. Nshabadili cable kibao lakini tatizo lipo pale pale.je tatizo linaweza kuwa nini?
Huwa unazipata original cable au yoyote tuu huwa unaconnect na kucharge??
hayo ni mambo ya hardwere...so jipange... kama upo dar... nenda sapna....
Kumbe hadi iphone zinazingua...mm nilifikiri vya Muchina tu ndo huwa vinazingua...
hayo ni mambo ya hardwere...so jipange... kama upo dar... nenda sapna....
Yap, nipo Dar, ipo wapi hiyo Sapna
Wadau simu yangu imekuwa pasua kichwa. Ina tatizo lifuatalo, kuna muda inapitisha charge, sometimes haipitishi kabisa kwa kutumia same cable. Nshabadili cable kibao lakini tatizo lipo pale pale.je tatizo linaweza kuwa nini?
wamegundua tatizo lilikuwa nini mkuu?ili na sisi siku nyingine tujifunze,,Asanteni wadau, nimefanikiwa kutatua tatizo
Sent from my iPhone using JamiiForums app
wamegundua tatizo lilikuwa nini mkuu?ili na sisi siku nyingine tujifunze,,
Tatizo lilikuwa ni port ya kuchajia, so nikabadili kile kidude, its working now.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Tatizo lilikuwa ni port ya kuchajia, so nikabadili kile kidude, its working now.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Next kuwa makini, machaja ya mchina yanaua sana port za kuchajia