Hello,
Hii iphone 5 nikiiwasha inataka niingize apple ID ya mtu mwingine ili ifunguke nimejitahidi lakini haikubali kuna njia yeyote ya kuifungua nijuzen jaman
Hahahaa mwizi kumuomba ufunguo mwenye nyumba ili akaibe! La msingi km akiiwasha inaleta contact za mtu akazitumie kumjulisha kuwa ana simu yake km si hivyo kaiuze minofu au kaa nayo till further notice
Hello,
Hii iphone 5 nikiiwasha inataka niingize apple ID ya mtu mwingine ili ifunguke nimejitahidi lakini haikubali kuna njia yeyote ya kuifungua nijuzen jaman
cha kukushauri hapa labda utoe screen ya juu na chini ukaviuze kwa mafundi simu ili urudishe pesa uliyonunulia vinginevyo baki na kopo lako la maonesho i5 ndani kama historia ya kupenda mteremko.........
Try to google icloud unlock utapata ufumbuzi coz wazungu ni watu wajanja sana wanapotengeneza lock basi ujue kuna ufunguo wake hali kadharika virus ina antvirus yake.