Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Naomba msaada wa haraka kwenye ufahamu juu ya tatizo hili simu ya iphone 4s,imezima tu,wakati natumia.
Battery imeisha charge,,Naomba msaada wa haraka kwenye ufahamu juu ya tatizo hili simu ya iphone 4s,imezima tu,wakati natumia.
Sio dakika kumi nadhani amekusudia sekunde 10Bonyeza buton ya juu na ya kati zishikilie kwa pamoja kwa muda kama dk kumi nakuendelea itawaka