MSAADA Iphone 4

Muhubiri

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
140
Reaction score
120
Ninatumia Iphone 4, imeanza kusumbua keys za row ya chini hazikubali kabisa, ingawa ili button ya kui-unloch ulislide inafanya kazi, wenye mautaalamu yenu naomba msaada, tatizo hapa ni software au mechanical, haijadondoka, haina crack yeyote, inawiki mbili tu ya matumizi, kutoka itoke nje ya nchi, na ilikuwa inafanya kazi bila shida.
 
Jaribu Ku I Restore Kwakutumia I Tunes!! hakikisha Una Bundle kias Na Uwe Ume download Itunes Katika Pc yako!!
 
nashukuru kiongozi ngoja nifanyie kazi
 
Jaribu kwenda kwenye settings, then general halafu scroll hadi chini, reset all settings uone!
 
Jaribu kwenda kwenye settings, then general halafu scroll hadi chini, reset all settings uone!

Mkuu i phone huwezi fomart hivyo maana jamaa atapoteza mawasiliano!! Lazma awe na pc yenye i tunes jirani... Hatutaki post ya msaada tena
 
Hapa mwenyewe natumia iPhone 4 ya kwangu ilikuwa na shida ya hii pysical button hapa chini wakat mwingine haifanyi kazi kabisa,,vipi na wewe ndio shida yako hiyo,?
 
nashukuru, shida ndio hiyo hiyo mkuu
 
Daaah nashindwa elewa vzr nadhani hizi simu zna hlo tatizo sana mm pia ninayo tatizo ni hlo hlo pia,
Yan kat apo juu ya button ya s mwenda juu kwenye q hazifany kaz vzr daaah
 
Sa hapo suala sio software ni hadware prob ukipeleka kwa fundi atakurekebishia me ya kwangu ilikuwa hivyo hivyo nkaonana na jamaa mmoja pale kariakoo akanirekebishia na kila kitu kikawa fresh kbsaahh ngoja niwachekie namba zake nawapa muda si mrefu
 
When iron sharpens iron.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…