Wana jamvi;
Naomba mnisaidie nimenunua Ipad Apple sasa kila ninapocreate Apple ID nafanikiwa ila nikilog in kwa kuitumia hiyo ID kwenye inakataa, naomba mnisaidie tatizo ni nn??