So far hakuna jailbrake ya uhakika mkuu
Ipo Lakini ukizima na kuwasha tu simu inabidi urudie zoezi
Poa tweaks na apps nyingi haziwa updated kufit hiyo ios
Ushauri, labda tuvute subira ios 10 kama itakuja jailbrake ya uhakika maana Apple wamebana balaa