Huo mkoa unamambo ya ajabu sana nakumbuka sisi walitukata kwa division mwaka jana tena mkuu wa wilaya ndio alikuwa anakazia alikuwepo
Sema nini hakuna kukata tamaa mzee baba jw wanakuja na polisi nao wanakuja tena bado tuendelee kupambana
Kama mimi sitakuwepo kwenye lipdf bado sitavunjika moyo mkuu nitaendelea kulifukuzia kombe