Huko Makambini JW wanabeba yeyote tu hadi la saba sifa damu tu na uimara wa mwili au fani ya watu husika waliotaka kwa wakati huo mfano mwaka huu kama walivyochukua watu wa afya na wahandisi
Ila haya maisha acha tu, kuna mwanangu kamaliza Bachelor yake mwaka jana ya wildlife pale Mlimani, yaan hata mahafali hakufanya kaunganisha TPDF kwa kutumia chet cha mujibu washeria na msela anadai babu yake ndio alipiga mchongo wote.

Ila wakuu me hivi vyeti vyangu sijawahi kula matunda yake . Nafas za majeshi zimetoka nyingi mno lkn hola sasa huu nwaka ni mwaka wangu wa mwisho sitoomba tena ..pengine rizki haipo huko