Usahili wawapi!?? Watachukua hao waliopigiwa simu haoa 800 ambao wao wanahitaji vipimo tu nawanaweza ongezea kidogo basi wakapata idadi wanayotaka ila kutangaza ajira sizani Kama watatangaza kabisa

Kama...nimemuelewa vizuri alieuliza swali,ni kuwa..je ukiachilia mbali hizi zilizotoka wiki 2 zilizopita, je kuna nafasi nyengine za jkt kwa wote zitatoka?
Pia naomba kuulizia....kama ni miongoni mwa watu wenye sifa walizozitaja mfano ni daktari au muhandisi,ila haujapitia jkt.... unaweza ukajipeleka?
Kwenu wakuu nawasilisha 🙏🙏...
Pia naomba kuulizia....kama ni miongoni mwa watu wenye sifa walizozitaja mfano ni daktari au muhandisi,ila haujapitia jkt.... unaweza ukajipeleka?
Kwenu wakuu nawasilisha
Huko Makambini JW wanabeba yeyote tu hadi la saba sifa damu tu na uimara wa mwili au fani ya watu husika waliotaka kwa wakati huo mfano mwaka huu kama walivyochukua watu wa afya na wahandisi