Sema khaaaa magereza wangejua tulivyochoka toka mwez wa tisa hata waseme ni process gan wamezid maan m nnachoamin kufanya vitu kwa wakat vinapunguza undugunization sas wenyew muda wote huo hata cwanawez wakashikwa na tamaa wakachomekan maskin ya mungu unakuta wamemchomoa mtoto wa watu asiye na hatia kisa kuchelewesha kwao