yaah baada ya kufungwa kwa maombi uhamiaji huwa wanatoa after 2weeks. mfano january 1 tangazo lili toka deadline ilikuwa trh 14, usahili ukawa trh 28 january bahati mbaya sikutoboa

ingiaa kwenye website yao.then hio risiti uliyopewa utaingiza hizo barcode number taarifa za mzigo wako utaona muda uliopeleka mpaka muda uliofika dodoma