Kuna jamaa ana diploma ya human resource anachukua mia5 ,na mwingine yeye ana degree ya procurement and supply wanamlipa 750000 kwa magereza sa sijajua kwa wenye fan zingine jnakuaje mfano kwa afya but huyo wa degree nilikuwa nae karibu sasa namimi nilikuwa nipo likizo mda huo wakat nipo chuo mwaka wa pili jamaa akanidokezea hapo,