Habari waungwana! Gari yangu aina ya Mitsubishi Pajero V24 imeharibika injini yake aina ya 4D56, kiasi kwamba itahitaji fedha nyingi kuitengeneza bora kununua nyingne. ninachohitaji kutoka kwenu ni wapi zinapatikana hizi injini na kama kuagiza nje ya nchi ni kampuni gani linajihisisha na uagizaji? naombeni msaada wenu.

mkuu, utaweza bei za engine ilala, juzi kati nlipita kuulizia engine ya toyota 1fz, nkaambiwa ni 12million, wakati gari yenyewe inauzwa befoward $3500. nkaona ni bora mtu ununue gari japan, ikatwe katwe ije bongo kama spare.

Kwani mkuu ikikatwakatwa ikaja bongo kama spea inakuwa.haina kodi? Maana shida kubwa ni kodi ambayo ina-double gharama zote za kununua hadi kuingiza nchini!