Msaada ( Information Security issue ) : Kila ninapo jaribu ku add ip inakataa

Msaada ( Information Security issue ) : Kila ninapo jaribu ku add ip inakataa

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
3,695
Reaction score
5,052
Msaada !

Kuna practise nafanya ya ku access internal network pamoja na Web Api.
Nimefanikiwa kujua IP zake (wanatumia static IP).

Ninapo add kwa command ya ( ip route add 10.XXX.XXX.0/24 via 192.xxx.xxx.xxx) zinakubali, ila kila ninapo jaribu ku access address ya Web inakataa.
Tatizo linaweza likawa ni nini? au kuna njia tofauti ya kufikia hiyo Web na Network?

Kuna moja nilitumia njia hii ku access secret server nilifanikiwa.

C.c snipa , Chief-Mkwawa , Njunwa Wamavoko , JuaKali
Na wadau wengine wote

Probably i guess unatumia .htacces.
first of all kwanza.

-Badilisha IP address yako wewe mwenyewe or user proxy/vpn, transparent proxy should be enough,
mana inaweza ikawa inazuia access ya specific subnets or range of certain IPs, au ina allow access ya IP flani wanazozjijua wao.
 
You are being web filtered .........
jaribu ...a different h4ck! ..🙂
usiwe...... one trick pony!
:A S-fire1:
 
Asante mkuu! Idea yako imenisaidia ( nime fanikiwa )
Ilitakiwa nitumie IP ya kwao ( network yao ndio iweze kukubali, maana wame limit IP zinazo weza ku access hiyo Web na wanazijua ) na sio IP yangu.

Back
Top Bottom